728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, November 7, 2016

  Kampuni ya StarT My Safari yawezesha kampuni 25 za mabasi kukata tiketi kupitia simu na intaneti

   Meneja Huduma kwa Wateja wa kampuni  ya Start My Safari, Joshua Sewe (Kushoto) akifanunua matumizi ya kifaa maalum kitumikacho katika ukataji wa tiketi za mabasi katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni Doris Kini Afisa Huduma kwa Wateja na Meneja Maendeleo ya Biashara wa kampuni hiyo Bw. George Mlambala(Kulia).
   Meneja Maendeleo ya Biashara wa kampuni ya Start My Safari, Bw. George Mlambala (Katikati) akifanunua matumizi ya kifaa maalum kitumikacho katika ukataji wa tiketi za mabasi katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Doris Kini Afisa Huduma kwa Wateja na Meneja Huduma kwa Wateja wa kampuni hiyo Bw. Joshua Sewe (Kushoto).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Kampuni ya StarT My Safari yawezesha kampuni 25 za mabasi kukata tiketi kupitia simu na intaneti Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top