728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, November 1, 2016

  KAMPUNI YA MANTRA TANZANIA YATOA MSAADA WA VIFAA VYENYE THAMANI YA MILIONI 12 KWA DAWATI LA KIPOLISI LA KUSHUGHULIKIA MASUALA YA UKATILI WA KIJINSIA NA WATOTO.

  Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dkt Binilith Mahenge akipokea msaada wa Vifaa kutoka kwa Afisa Mahusiano wa kampuni ya Mantra Tanzania Khadija Pallangyo.

  Kampuni hiyo inajihusisha na utafiti wa uchimbaji wa Madini aina ya Uranium katika eneo la Mto mkuju wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma , imekabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya ofisi kwenye Ofisi ya Dawati la kipolisi la Kushughulikia masuala ya ukatili wa Kijinsia na watoto mjini Songea mkoani RUVUMA vikiwa na thamani ya shilingi milioni 12. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KAMPUNI YA MANTRA TANZANIA YATOA MSAADA WA VIFAA VYENYE THAMANI YA MILIONI 12 KWA DAWATI LA KIPOLISI LA KUSHUGHULIKIA MASUALA YA UKATILI WA KIJINSIA NA WATOTO. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top