728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 9, 2016

  DK.Shein AKirejea Kutoka Pemba

   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pembe Mhe,Omar Othman Khamis pamoja na Viongozi wengine katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba walipokuwa wakirejea Unguja leo baada ya kumaliza ziara maalum Kisiwani Pemba leo,
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba Mhe,Hemed Suleiman katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakirejea Unguja baada ya kumaliza ziara maalum Kisiwani Pemba,
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiagana Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Pemba katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo akirejea Unguja baada ya kumaliza ziara maalum Kisiwani Pemba, [Picha na Ikulu.] 09 Nov 2016. 
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Unguja leo akirejea kutoka Pemba baada ya kumaliza ziara maalum
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (kulia) walipokuwa wakisalimiana na Viongozi mbali mbali na Wazee wa Chama katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Unguja  leo wakirejea kutoka Pemba baada ya kumaliza ziara maalum,[Picha na Ikulu.] 09 Nov 2016.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DK.Shein AKirejea Kutoka Pemba Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top