728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 30, 2016

  DIWANI WA CHADEMA AJIVUA UAANACHAMA NA KUJIUNGA CCM

  Kushoto ni Diwani wa kata ya Shule ya Tanga iliyopo Songea mjini mkoani Ruvuma kupitia tiketi ya Chama Cha Demoklasia na Maendeleo ( CHADEMA )Mussa Ndomba aliyejivua uaanachama na kujiunga Chama tawala cha mapinduzi (CCM)  akimkabidhi kadi mwenyekiti wa CCM mkoa wa RUVUMA Mh. ODDO MWISHO. kwa undani zaidi wa habari hii bonyeza play hapo chini .
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DIWANI WA CHADEMA AJIVUA UAANACHAMA NA KUJIUNGA CCM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top