728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, November 19, 2016

  DC WA HANDENI,MH GONDWE AFANYA ZIARA YA KUSULUHUSHA MGOGORO WA WAFUGAJI NA WAKULIMA MSITU WA HIFADHI YA LUGALA KIJIJI CHA KITUMBI WILAYANI HANDENI


  Pichani wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni,Bw. William Makufwe akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya walipokuwa wakisikiliza kero za wanakijiji cha Kitumbi
  Mkuu wa Wialaya ya Handeni,Mh Godwin Gondwe akizungumza na wanakijiji wa kijiji cha Kitumbi .

  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, Bw. William Makufweakizungumza na wanakijiji wa kijiji cha kitumbi.
  Afisa ardhi wa Halmashauri ya wilaya ya Handeni Bw. Sixtus Akiwaelewesha wanakijiji wa kijiji cha kitumbi kuhusu ardhi.
  Baadhi ya wanakijiji wa kijiji cha kitumbi wakitoa kero zao kwa Viongozi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DC WA HANDENI,MH GONDWE AFANYA ZIARA YA KUSULUHUSHA MGOGORO WA WAFUGAJI NA WAKULIMA MSITU WA HIFADHI YA LUGALA KIJIJI CHA KITUMBI WILAYANI HANDENI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top