728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 30, 2016

  DC STAKI AZINDUA HUDUMA YA UPANDAJI MITI MAENEO OEVU KWENYE VYANZO VYA MAJI

  Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Rosemary Staki amezindua shughuli ya kupanda miti maeneo oevu/ kwenye vyanzo vya Maji katika Kata ya Bwambo. Zoezi hilo limefanyika kwa ushirikiano na shirika lisilo la kiserikali la Floresta.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DC STAKI AZINDUA HUDUMA YA UPANDAJI MITI MAENEO OEVU KWENYE VYANZO VYA MAJI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top