728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, November 15, 2016

  DC HAPI AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA WA KINONDONI


  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi akisalimiana na Mkufunzi wa Ujasiriamali Bi. Debora Charles (kushoto) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wajasiriamali vijana wa Manispaa ya Kinondoni jana Jijini Dar es Salaam.
  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi akizungumza na vijana wajasiriamali wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wajasiriamali vijana wa Manispaa ya Kinondoni jana Jijini Dar es Salaam.
  Mkufunzi wa Ujasiriamali Bi. Debora Charles akitoa mada wakati wa mafunzo ya wajasiriamali vijana kutoka Manispaa ya Kinondoni jana Jijini Dar es Salaam.
  Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya ujasiriamali kutoka Manispaa ya Kinondoni wakifuatilia mafunzo ya ujasiriamali wakati wa mafunzo hayo jana Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DC HAPI AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA WA KINONDONI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top