728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, November 29, 2016

  BENKI YA CRDB YAKANUSHA TAARIFA ZINAZOENEZWA MITANDAONI


  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akizungumza na vyombo vya habari, wakati akikanusha taarifa zinazoenezwa mitandaoni kuwa Benki hiyo iko mbioni kufunga baadhi ya matawi yake kwa madai kuwa imeyumba kiuchumi. Dkt. Kimei amekanusha taarifa hizo kwa kusema si ukweli na sasa wako kwenye mikakati ya kufungua matawi mengine 11 kabla ya Januari 2017.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BENKI YA CRDB YAKANUSHA TAARIFA ZINAZOENEZWA MITANDAONI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top