728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 9, 2016

  Bayport yakabidhi madarasa matatu yenye thamani ya shilingi m 200/- kwa kituo cha KCVC

  Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh Asumta Mshama, akishuhudia uzinduzi wa moja ya madarasa ya kituo cha watoto yatima cha KCVC uliofanywa na mlezi kituo hicho mama Anna Mkapa na mwenyekitiwabodiya Bayport Tanzania Dkt. Ken Kwaku hafla iliyofanyika kijiji cha Simbani wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani 
  Watoto wanaolelewa katika kituo cha KCVC wakiimba wimbo maalumu.
  Afisa Mtendaji Mkuu wa Bayport Tanzania, John Mbaga akiongea na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha KCVC.
  Mlezi kituo hicho mama Anna Mkapa akitoa hotuba kwa wageni waalikwa 
  Mkuu wa wilaya ya Kibaha mh Asumta Mshama akiongea na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha KCVC. 
  Viongoziwa Bayport wakiongeana Mama Anna Mkapa. 
  Viongozi wa Bayport Tanzania wakiwa katika picha ya pamojana Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh Asumpta Mshama, Mama Anna Mkapa, mtoto Esther Furaha pamoja na wasimamizi wa kituo cha Kibaha Children’s village centre.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Bayport yakabidhi madarasa matatu yenye thamani ya shilingi m 200/- kwa kituo cha KCVC Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top