728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, November 29, 2016

  BALOZI WA KUWEIT NCHINI TANZANIA JASEM ALNAJIM ATEMBELEA HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA MJINI ZANZIBAR

   Balozi wa Kuweit nchini Tanzania Jasem Alnajim akimkabidhi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Juma Malik  Akili msaada wa moja ya  mashine  tatu za kupimia Presha alipotembelea Hospitali Kuu ya Mnazi mmoja mjini Zanzibar.
    Balozi wa Kuweit nchini Tanzania Jasem Alnajim akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Juma Malik Akili wakiwapa zawadi akinamama waliojifungua katika wodi ya wazazi ya Hospitali kuu ya Mnazi mmoja.
   Balozi wa Kuweit nchini Tanzania Jasem Alnajim akimbeba mtoto mchanga alipotembelea wodi ya wazazi ya hospitali  kuu ya Mnazi mmoja Mjini Zanzibar.
  Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali kuu ya Mnazi mmoja Dkt. Ali Salum Ali akimuongoza Balozi wa Kuweit nchini Tanzania Jasem Alnajim alipotembelea majengo mapya ya Hospitali hiyo yaliyofunguliwa hivi karibuni.Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BALOZI WA KUWEIT NCHINI TANZANIA JASEM ALNAJIM ATEMBELEA HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA MJINI ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top