728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, November 11, 2016

  AZAM FC KUSUKA KIKOSI CHA NGUVU RAUNDI YA PILI

  UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, kwa kushirikiana na benchi la ufundi la timu hiyo hivi sasa upo kwenye mchakato wa kukiongezea nguvu kikosi hicho.

  Hatua hiyo imekuja ikiwa ni nia ya dhati kabisa ya Azam FC kutaka kufanya vizuri zaidi kwenye mzunguko wa pili wa ligi, Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) na michuano ya Kimataifa inayokuja kuanzia mwezi ujao na mwakani (Kombe la Kagame na lile la Shirikisho Afrika).


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: AZAM FC KUSUKA KIKOSI CHA NGUVU RAUNDI YA PILI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top