728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, November 5, 2016

  AGA KHAN YAWAPIGA MSASA WABUNGE, WADAU UBORESHAJI ELIMU NCHINI

   Mhadhili wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Kitilya Mkumbo akielezea kwenye mkutano wa wadau wa elimu mjini Dodoma, mambo mbalimbali yanayokwamisha maendeloeo ya elimu na jinsi ya kuiboresha. Mkutano huo ambao pia walishirikisha wabunge umeandaliwa na  Chuo Kikuu cha Aga khan (AKU).PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.

   Mwenyekiti wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Zungu na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi wakisikiliza kwa makini mada kuhusu uboreshaji wa elimu nchini.
   Washiriki wakiwa katika mkutano huo wa kujadili changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya elimu nchini na jinsi ya kuziboresha


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: AGA KHAN YAWAPIGA MSASA WABUNGE, WADAU UBORESHAJI ELIMU NCHINI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top