728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, October 25, 2016

  ZAFELA YATOA DOZI YA ELIMU KWA DARASA LA WALEMAVU WA AKILI WA SKULI YA JANGOMBE ZANZIBAR KUHUSU KUELEWA VIASHIRIA VYA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA

  Mkurugenzi wa Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) Jamila Mahmoud akitoa elimu kwa wanafunzi wa darasa la walemavu wa akili liliopo Skuli ya Jang’ombe juu ya kuelewa viashiria vya udhalilishaji wa kijinsia
  zaf2
  Baadhi ya walemavu wa akili wa Skuli ya Jang’ombe wakionyesha kazi walizofanya wakati wa mafunzo yaliyotolewa na Viongozi wa ZAFELA kuhusu kuelewa viashiria vya udhalilishaji wa kijinsia.
  zaf3

  Mratibu wa ZAFELA Saada Salum Issa akifuatilia kazi walizowapa walemavu wa akili wa Skuli ya Jang’obe wakati walipofika kutoa elimu ya kutambua viashiria vya udhalilishaji wa kijinsia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: ZAFELA YATOA DOZI YA ELIMU KWA DARASA LA WALEMAVU WA AKILI WA SKULI YA JANGOMBE ZANZIBAR KUHUSU KUELEWA VIASHIRIA VYA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top