728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, October 9, 2016

  WAZIRI UMMY MWALIMU AKAGUA VITUO VYA AFYA VILIVYOATHIRIKA NA TETEMEKO MKOANI KAGERA


  Waziri huyo akiangalia zahanati ya Ishozi ambayo imeharibika kabisa na kufanya huduma za afya kufanyika kwenye Tenti  la muda nyuma kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Misenyi Luteni Kanali Denis Mwita.
  umula1
  Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akikagua kituo cha afya cha Kabyaile kilichokuwa hakijakamilika ujenzi wake Wilayani Misenyi mkoani Kagera wakati alipotembelea na kujionea hali halisi ya madhara yaliyosababishwa na Tetemeko la Ardhi, Kuua watu 17 na kujeruhi wengine mkoani humo

  umula2
  Hapa ni mahali palipohamishiwa Zahanati hiyo
  umu1
  Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akiongea na akina mama waliofika kliniki ya afya ya uzazi ya mama na mtoto kwenye kituo cha afya cha Rwamishenyi kilichopo mkoani Kagera
  umu2
  Waziri Ummy akiongea na watoto waishio kwenye kituo cha watoto waishio kwenye mazingira magumu cha Uyacho
  umu3
  Akina mama hao wakimsikiliza Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,alipokuwa akiwahamasisha kujiunga na mfuko wa afya ya jamii(CHF) pamoja na uzazi wa mpango
  umu4
  Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto akisalimiana na mtoto ambaye nyumba yao ilianguka kwa tetemeko na sasa wanaishi kwenye Tenti
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI UMMY MWALIMU AKAGUA VITUO VYA AFYA VILIVYOATHIRIKA NA TETEMEKO MKOANI KAGERA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top