728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, October 28, 2016

  WAZIRI MBARAWA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA MISRI NA CANADA.

  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (kulia), akizungumza na Balozi wa Misri nchini, Yasser Elshawaf kuhusu masuala mbalimbali ya Sekta ya Miundombinu ofisini kwake jijini Dar es salaam.
  Balozi wa Misri nchini, Yasser Elshawaf (kushoto), akifurahi jambo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es salaam kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusu Sekta ya Miundombinu nchini.
  Balozi wa Canada nchini, Ian Myles (katikati), akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, alipokutana nae ofisini kwake kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusu Sekta ya Miundombinu nchini.

  Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MBARAWA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA MISRI NA CANADA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top