728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, October 25, 2016

  Waziri Makamba aagiza kuondolewa kwa wavamizi wa Vyanzo vya Maji
  Uharibifu Mkubwa wa Mazingira katika Vyanzo Vya maji. Pichani ni kilimo cha miwa katika mto katika kijiji cha Limba, Sumbawanga. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba ameagiza watu hao kuondelewa mara moja.

  Wakazi wa Manispaa ya Sumbawanga wamevamia chanzo cha maji cha Mto Lwiche, na kujihusisha na shughuli za kilimo pamoja na upandaji wa miti ya mikaratusi inayonyonya maji, chanzo hicho ni miongoni mwa Vyanza vya maji vilivyopo hatarini kutoweka.
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba akiagiza watu kuondolewa kwa wavamizi wa vyanzo vya maji.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Waziri Makamba aagiza kuondolewa kwa wavamizi wa Vyanzo vya Maji Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top