728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, October 10, 2016

  WAZIRI DKT TIZEBA AFUNGUA MKUTANO WA PILI WA UPATIKANAJI NA USAMBAZAJI WA MBOLEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA JIJINI DAR LEO.

   Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba akizungumza na Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini,mapema leo katika hoteli ya Hyatt Regency,jijini Dar,mara baada ya kufungua mkutano wa pili wa Upatikanaji na usambazaji wa mbolea kwa nchi za Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika,leo katika hoteli ya Hyatt Regency,jijini Dar,Mkutano huo umehudhuriwa na washiriki zaidi ya 200 kotoka nchi mbalimbali Duniani,wakiwemo Wakuu wa Mashirika na Makampuni makubwa yanayozalisha Mbolea Duniani. 
  Wadau wa mkutano wa "Africa Fertilizer Agriculture 2016" wakimsikiliza Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba alipokuwa akiwafafanulia changamoto mbalimbali zilizopo nchini Tanzania katika suala zima la upatikanaji na usambaji wa mbolea kwa wakulima wakubwa na Wadogo,mara baada ya kufungua mkutano wa pili wa Upatikanaji na usambazaji wa mbolea kwa nchi za Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika,leo katika hoteli ya Hyatt Regency,jijini Dar,Mkutano huo umehudhuriwa na washiriki zaidi ya 200 kotoka nchi mbalimbali Duniani,wakiwemo Wakuu wa Mashirika na Makampuni makubwa yanayozalisha Mbolea Duniani.PICHA NA MICHUZI JR.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI DKT TIZEBA AFUNGUA MKUTANO WA PILI WA UPATIKANAJI NA USAMBAZAJI WA MBOLEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA JIJINI DAR LEO. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top