728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, October 12, 2016

  TIMU YA GOLF YA JESHI YATAMBA KUREJEA NA USHINDI ARUSHA OPEN.

   Naibu Katibu Mkuu wa klabu ya gofu  ya  Lugalo ya Jijini  Dar es Salaam Kanali Rajabu Mwenyumbu  akiangalia Mazoezi  ya mwisho ya timu ya  klabu hiyo  ambayo inatarajia  kushiriki  katika mashindano ya wazi yanayotarajia kufanyika   Mwishoni mwa Wiki Hii Jijini Arusha. 
   Naibu katibu mkuu wa Klabu ya gofu ya jeshi ya Lugalo  Kanali Rajabu Mwenyumbu  akizungumza na  wachezaji wa gofu wa  klabu hiyo ya jijini Dar es salaam wanao tarajiwa  kushiriki katika mashindano ya wazi yanayotarajia kufanyika mwisho wa  Wiki hii Jijini Arusha.
  Naibu katibu Mkuu wa Klabu ya Gofu ya Jeshi ya Lugalo Kanali Rajabu Mwenyumbu  akisalimiana na wachezaji wa gofu wa timu hiyo wanao tarajiwa  kushiriki katika mashindano ya wazi Jijini Arusha  mwisho wa  Wiki hii. 

  PICHA NA LUTENI SELEMANI SEMUNYU)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TIMU YA GOLF YA JESHI YATAMBA KUREJEA NA USHINDI ARUSHA OPEN. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top