728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, October 12, 2016

  TAARIFA KUTOKA MAKAO MAKUU YA JWTZ

   Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis  Mwamunyange (watatu kushoto), akiwa na Mkuu wa Jeshi la Anga la Zimbabwe luteni Jenerali (Air Martial) Penance Shiri (wapili kushoto), alipotembelea Makao Makuu  ya JWTZ Upanga Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Octoba 2016.
   Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis  Mwamunyange (kulia) akiwa na Mkuu wa Jeshi la Anga la Zimbabwe luteni Jenerali (Air Martial) Penance Shiri, alipotembelea Makao Makuu ya JWTZ Upanga Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Octoba 2016, wakati wa ziara ya kikazi nchini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TAARIFA KUTOKA MAKAO MAKUU YA JWTZ Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top