728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, October 10, 2016

  SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI AZUNGUMZA NA WAANDISHI.

   Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Daniel Fred Kidega katikati  akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali katika mkutano wa kuzungumzia maswala ya Bunge katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Zanzibar.Wamwanzo ni Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania Makongoro Nyerere na wamwisho ni Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka Rwanda Patricia Hajabakiga.
   Mwandishi mwandamizi Salim Said Salim akiuliza maswali katika Mkutano wa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega kuzungumzia maswala ya Bunge katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni Zanzibar.
  Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Makongoro Nyerere akifanya mahojiano na Mwandishi wa Radio Dochwelle Salma Said katika Mkutano wa Spika wa Bungue la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega kuzungumzia maswala ya Bunge katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni Zanzibar.

  PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI AZUNGUMZA NA WAANDISHI. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top