728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, October 6, 2016

  SHULE YA SEKONDARI TUSIIME YAPIGWA FAINI YA MILIONI KUMI KWA UCHAFUZI WA MAZINGIRA

   Naibu Wziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina alipokuwa akifanya ziara ya kukagua mazingira katika shule ya secondary Tusiime iliyopo tabata jijini Dar es salaam mara baada ya kupata malalamiko kutoka kwa wananchi ya utililishaji maji taka kwenye makazi ya watu kutoka shuleni hapo.                
    Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina (katikati)  akipata maelezo ya jinsi gani mfumo wa utililishaji  maji taka unavyofanya kazi katika shule ya secondary Tusiime.                    
  Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuipiga faini ya million kumi shule ya secondary Tusiime iliyopo Tabata jijini Dar es salaam kwa uchafuzi wa mazingira
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SHULE YA SEKONDARI TUSIIME YAPIGWA FAINI YA MILIONI KUMI KWA UCHAFUZI WA MAZINGIRA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top