728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, October 25, 2016

  SERIKALI MKOANI RUVUMA YATEKETEZA ZANA HALAMU ZA UVUVI ZENYE THAMANI ZAIDI YA MILIONI 42.

  Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dokta Binilith Mahenge akichoma mitego ambayo imekuwa ikitumiwa kuvua samaki katika ziwa nyasa.

  -------------------------------------

  Asilimia 80 ya wakazi wa wilaya ya nyasa mkoani Ruvuma ,wanategemea uvuvi kuendesha maisha yao, huku baadhi yao wamekuwa wakitumia zana ambazo zimepigwa marufuku na serikali ambazo ni nyavu nchi moja na nusu hadi inchi mbili , vyandarua na mfumo wa uvuvi unaodaiwa kuwa ni wakienyeji uitwao gonga ambao uharibu mazalia ya samaki. Habari zaidi bonyeza lingi hiyo hapo chini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SERIKALI MKOANI RUVUMA YATEKETEZA ZANA HALAMU ZA UVUVI ZENYE THAMANI ZAIDI YA MILIONI 42. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top