728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, October 5, 2016

  SERIKALI KUIJENGA SHULE YA MSINGI ILEEGA NA KUIKABARABTI SHULE YA NYAMILIMA.

  Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Eng. Stella Manyanya (kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Kanali Mstaafu Shaban Lissu wakati alipowasili katika Shule ya Msingi ya Nyamilima kukagua athari za tetemeko la ardhi katika shule hiyo 4/10/2016 Mkoani Kagera.

  Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na  Teknolojia Mhe. Eng. Stella Manyanya (aliyetangulia mbele) akiingia ndani ya moja ya madarasa katika Shule ya Msingi ya Nyamilima kukagua athari za tetemeko la ardhi katika shule hiyo 4/10/2016 Mkoani Kagera.
  Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Eng. Stella Manyanya akimsikiliza mwanafunzi jinsi ya kusoma ndani ya moja ya madarasa katika Shule ya Msingi ya Nyamilima wakati wa kukagua athari za tetemeko la ardhi katika shule hiyo 4/10/2016 Mkoani Kagera.

  Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Eng. Stella Manyanya akiongea na wanafunzi wa Shule ya Msingi Nyamilima ndani ya moja ya madarasa katika shule hiyo wakati wa kukagua athari za tetemeko la ardhi katika shule hiyo 4/10/2016 Mkoani Kagera.

  Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Eng. Stella Manyanya (wa pili kulia) akimsikiliza Mkuu wa Shule ya Msingi Nyamilima Bw. Josam John (wa pili kushoto) wakati alipowasili katika Shule ya Msingi ya Nyamilima kukagua athari za tetemeko la ardhi katika shule
  hiyo 4/10/2016 Mkoani Kagera.

  Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Eng. Stella Manyanya (kulia) akimsikiliza Mkuu wa Shule ya Msingi Nyamilima Bw. Josam John (kushoto) wakati akijibu swali la kwanini baadhi ya walimu wa shule hiyo hawaonekani shuleni mara alipowasili
  katika Shule ya Msingi ya Nyamilima kukagua athari za tetemeko la ardhi katika shule
  hiyo 4/10/2016 Mkoani Kagera.

  Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Eng. Stella Manyanya (katikati) akimuonya Mkuu wa Shule ya Msingi Nyamilima Bw. Josam John (wa pili kulia) kuhusu utoaji ruhusa ovyo kwa walimu wakati wa saa za kazi shuleni hapo mara alipowasili
  katika Shule ya Msingi ya Nyamilima kukagua athari za tetemeko la ardhi katika shule
  hiyo 4/10/2016 Mkoani Kagera.

  Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Eng. Stella Manyanya akiwafurahia wanafunzi wa Shule ya Msingi Nyamilima ndani ya moja ya madarasa katika shule hiyo kwa kuweza kujibu moja ya swali alilowauliza wakati wa kukagua athari za tetemeko la ardhi katika shule
  hiyo 4/10/2016 Mkoani Kagera. 

  Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Eng. Stella Manyanya (kulia) akimpa zawadi ya fedha mmoja wa wanafunzi ambaye alijibu swali kikamilifu ndani ya darasa la Shule ya Msingi Nyamilima wakati wa kukagua athari za tetemeko la ardhi katika shule
  hiyo 4/10/2016 Mkoani Kagera.
  Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Eng. Stella Manyanya (kushoto) akimshauri jambo Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Kanali Mstaafu Shaban Lissu wakati (kulia) baada ya kutembelea shule ya Msingi Nyamilima kukagua athari za tetemeko la ardhi katika shule
  hiyo 4/10/2016 Mkoani Kagera.
  Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Eng. Stella Manyanya (kulia) akimpa mkono wa pole Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Ileega iliyopo Wilayani Kyerwa Mkoani Kagera baada ya Shule yake kukumbwa na tetemeko la ardhi na kuathiri baadhi ya vyumba vya madarasa pamoja na nyumba ya Walimu hivi karibuni.
  Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Eng. Stella Manyanya (aliyetangulia mbele) akiingia ndani ya moja ya madarasa lililokumbwa na tetemeko la ardhi Wilayani Kyerwa mkoani Kagera kujionea athari za tetemeko hilo katika shule ya Msingi Ileega 4/10/2016.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SERIKALI KUIJENGA SHULE YA MSINGI ILEEGA NA KUIKABARABTI SHULE YA NYAMILIMA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top