728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, October 23, 2016

  RATIBA YA MAZISHI YA JACOB ELINAZA

  Ratiba ya mazishi Jacob Elinaza yatakayo fanyika Oktoba 24,2016 nyumbani kwao Segerea jijini Dar es Salaam.

  1. Mwili wa marehemu utafika saa 11:30 am 
  2. Chakula cha mchana kuanzia 12:00pm 
  3. Kuaga mwili wa marehemu kuanzia saa 2:30pm 
  4. Ibada ya mazishi itaanza kuanzia 4:00pm 
  Kila kitu kitakuwa nyumbani kwetu segerea kwa mama 
  *Maelekezo* ya kufika

  Unashuka kituo  cha Oil com segerea anachukua pikipiki unasema wakupeleke kwa msoji mwanajeshi au kwenye msiba kwa Elinaza 
      
  BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RATIBA YA MAZISHI YA JACOB ELINAZA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top