728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, October 29, 2016

  RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AMEZALIWA LEO!

  Tarehe kama ya leo, 29 October 1959, takribani miaka 57 iliyopita katika kijiji cha CHATO, alizaliwa mtoto kwenye familia ya mkulima. Mungu alimpa ulinzi na akalelewa kwa misingi ya kitamaduni. Mtoto huyo ndiye kiongozi wa nchi yetu,ni Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

  HAPPY BIRTHDAY  RAIS WETU MPENDWA.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AMEZALIWA LEO! Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top