728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, October 4, 2016

  RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI

   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe,Mwigulu  Nchemba wakati alipofika kujitambulisha kwa Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na kulu.]04/10/2016.
  mig2
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe,Mwigulu  Nchemba wakati alipofika kujitambulisha   Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na kulu.]04/10/2016.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top