728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Monday, October 31, 2016

  Rais Dk. Shein akutana na ujumbe wa JICA kutoka Japan
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Rais wa Taasisi ya Mashirikianoya Kimataifaya Japan(JICA) Bw.Yasushi Kanzaki alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]31/10/2016.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Rais wa Taasisi ya Mashirikianoya Kimataifaya Japan(JICA) Bw.Yasushi Kanzaki (wa pili kulia) alipofika na ujumbe aliofuatana nao leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]31/10/2016.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Rais wa Taasisi ya Mashirikianoya Kimataifaya Japan(JICA) Bw.Yasushi Kanzaki alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]31/10/2016.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Rais Dk. Shein akutana na ujumbe wa JICA kutoka Japan Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top