728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, October 12, 2016

  RAIS AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk.Suzan Alphonce Kolimba wakati alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
  nz2
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk.Suzan Alphonce Kolimba wakati alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top