728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, October 9, 2016

  NHIF yatoa mabati 100 kwa ajili ya upauaji wa jengo la upasuaji wa kituo cha afya Kata ya Dongobesh Wilayani Mbulu

   Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Manyara, Isaya Shekifu akizungumza na wakazi wa Kata ya Dongobesh Wilayani Mbulu baada ya kukabidhi jana mabati 100 kwa ajili ya upauaji wa jengo la upasuaji wa kituo cha afya.
   Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Chelestino Mofuga akizungumza na wakazi wa Kata ya Dongobesh baada ya kukabidhiwa mabati 100 ya jengo la upasuaji wa kituo cha afya na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Manyara.
  Mbunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini Mkoani Manyara, Flatey Massay akizungumza jana na wakazi wa Kata ya Dongobesh baada ya kukabidhiwa mabati 100 ya jengo la upasuaji wa kituo cha afya na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Manyara. Picha na Joseph Lyimo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NHIF yatoa mabati 100 kwa ajili ya upauaji wa jengo la upasuaji wa kituo cha afya Kata ya Dongobesh Wilayani Mbulu Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top