728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, October 18, 2016

  NEWZ ALERT:Rais Magufuli atengua uteuzi wa DED Mkinga aitwaye Emmanuel Mkumbo  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga ajulikanae kwa jina la Emmanuel Mkumbo.

  Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Emmanuel Mkumbo kuanzia leo tarehe 18 Oktoba, 2016.

  Uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga atakayejaza nafasi ya Emmanuel Mkumbo utafanywa baadaye.


  Gerson Msigwa
  Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
  Dar es Salaam
  18 Oktoba, 2016
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NEWZ ALERT:Rais Magufuli atengua uteuzi wa DED Mkinga aitwaye Emmanuel Mkumbo Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top