728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, October 31, 2016

  NEWZ ALERT;BONDIA THOMAS MASHALI AFARIKI DUNIA


  Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii asubuhi hii, inaeleza kuwa Bondia maarufu nchini, Thomas Mashali amekutwa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo na mwili wake kukutwa maeneo ya Kimara, Jijini Dar es salaam. akithibitisha kutokea kwa kifo cha mwanamasumbwi huyo, Bondia Abdallah Pazi (Dullah Mbabe) amesema Mashali amefikwa na umauti huo usiku wa kumkia leo kwa kudaiwa kupigwa mpaka kuuawa na watu wasiojulikana kwa tuhuma za wizi. tutaendelea kujuzana taarifa zaidi za msiba huu wa Mwanamasumbwi huyu nguli hapa nchini, endelea kutembelea Libeneke la Globu ya Jamii.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NEWZ ALERT;BONDIA THOMAS MASHALI AFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top