728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, October 19, 2016

  NEWZ ALERT: TAARIFA HII IPUUZWE, SIO YA KWELI

  Kuna taarifa inasambazwa katika mitandano mbalimbali ya kijamii  leo hii ikidaiwa imetolewa na kitengo cha Mawasiliano,IKULU, kama inavyoeleza hapo juu,si ya ukweli,mnaombwa muipuuze,ni taarifa iliotengenezwa na baadhi ya watu wenye nia ovu ya kupotosha ukweli,hivyo mnaombwa kuipuunza.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NEWZ ALERT: TAARIFA HII IPUUZWE, SIO YA KWELI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top