728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, October 7, 2016

  NEWS ALERT: MTU MMOJA ADAIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU MKOANI DODOMA JIONI YA LEO

   Ajali hii imetokea leo katika eneo la Emaus, Mkoani Dodoma ambapo imehusisha gari kubwa mbili na moja dogo aina ya Toyota Noah. Inadaiwa kuwa Mtu mmoja amepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika mpaka sasa.
   Askari Polisi wakiwa eneo la tukio kuokoa majeruhi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NEWS ALERT: MTU MMOJA ADAIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU MKOANI DODOMA JIONI YA LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top