728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, October 31, 2016

  MZIKI MNENE WA EFM RADIO ULIVYOWAKUNA WAKAZI WA MLANDIZI

  Ni wiki ya tisa sasa tangu mziki mnene wa efm redio uzinduliwe na jumamosi ya tarehe 29 mwezi wa kumi wakazi wa mlandizi wamefurahishwa vilivyo na muziki mnene wa efm redio kutoka kwa rdjs wa redio hiyo pamoja show za wasanii kutoka kwa doggo nigga, na yuda msaliti pamoja na wasanii wengine chipukizi wa singeli.

  Vilevile zawadi kabambe zilitolewa kwa wakazi hao wa mlandizi waliofika katika tamasha hilo kutoka kampuni ya Vodacom ikiwemo simu tatu, t-shirts, kofia, pamoja na muda wa maongezi
  Msanii wa muziki wa singeli alimaarufu kwa jina la Yuda Msaliti akiwatumbuiza wakazi wa mlandizi
  Baadhi ya sehemu ya watu waliohudhuria tamasha hilo
  Droo yakujishindia simu ikichezeshwa kutoka Vodacom wapili kutoka kushoto ni James Kigodi Meneja Masoko akifuatiwa na Meneja masoko na matangazo wa Vodacom Materi Mushi
  Dogo niga akiwapagawisha wakazi wa Mlandizi​.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MZIKI MNENE WA EFM RADIO ULIVYOWAKUNA WAKAZI WA MLANDIZI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top