728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, October 17, 2016

  Mwenyekiti wa(RFB) nchini, Bw. Joseph Haule awasilisha ripoti ya ukaguzi ujenzi wa barabara ya Masjid Quba (KM 2.478)

   Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini (RFB), Bw. Joseph Haule akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu ripoti ya ukaguzi wa kiufundi kwa kazi ya Ujenzi wa barabara ya Masjid Quba (KM 2.478) kwa kiwango cha lami katika Manispaa ya Kinondoni. Jijini Dar es Salaam.
  uje2
  Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini Bw. Joseph Haule akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu ripoti ya ukaguzi wa kiufundi kwa kazi ya Ujenzi wa barabara ya Masjid Quba (KM 2.478) kwa kiwango cha lami katika Manispaa ya Kinondoni. Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Kaimu Meneja wa Mfuko huo Bw. Eliud Nyauhenga.
  uje3
  Baadhi ya Watendaji wa Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini (RFB) wakimsiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko huo Bw. Joseph Haule (hayupo pichani), wakati alipotoa ripoti ya ukaguzi wa kiufundi kwa kazi ya Ujenzi wa barabara ya Masjid Quba (KM 2.478) kwa kiwango cha lami katika Manispaa ya Kinondoni.Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mwenyekiti wa(RFB) nchini, Bw. Joseph Haule awasilisha ripoti ya ukaguzi ujenzi wa barabara ya Masjid Quba (KM 2.478) Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top