728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, October 19, 2016

  MNAKARIBISHWA KWENYE MAONESHO YA SANAA ZA KATUNI

  Wadau wote mnakaribishwa katika maonesho ya sanaa za katuni (Cartoon) yatakayo funguliwa rasmi kesho tar 20 saa 11 jioni, Masoud Kipanya atashirikisha historia ya maisha yake katika sanaa, na tar 21 saa 1 hadi saa 3 usiku LUMUMBA THEATRE watafanya onesho la Muziki wa asili, Ngomba za asili na Sarakazi, katika ukumbi wa kisasa wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MNAKARIBISHWA KWENYE MAONESHO YA SANAA ZA KATUNI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top