728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, October 12, 2016

  MKUU WA MKOA MJINI MAGHARIBI ATOA TAARIFA YA MATEMBEZI YA HIYARI NA UCHANGIAJI DAMU

  ku2
  Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed akitoa tarifa kwa wandishi wa habari kuhusu matembezi ya hiyari na zoezi la kuchangia Damu kwa Mkoa Mjini Magharibi yatayofanyika tarehe 16/10/2016. 
  ku3
  Sehemu ya wandishi wa habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud alipokuwa akitoa tarifa kuhusu matembezi ya hiyari na zoezi la kuchangia Damu kwa Mkoa Mjini Magharibi.Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MKUU WA MKOA MJINI MAGHARIBI ATOA TAARIFA YA MATEMBEZI YA HIYARI NA UCHANGIAJI DAMU Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top