728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, October 22, 2016

  Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Lesotho atembelea Makao Makuu ya Jeshi Upanga Jijini Dar es Salaam

  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (Kulia) akimkabidhi nembo ya JWTZ Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Lesotho Luteni Jenerali Tlali Kamoli, alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi Upanga Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 21 Oktoba 16, kwa ziara ya kikazi ya kuimarisha uhusiano wa majeshi ya nchi mbili hizi (picha na JWTZ).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Lesotho atembelea Makao Makuu ya Jeshi Upanga Jijini Dar es Salaam Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top