728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, October 18, 2016

  MKE WA WAZIRI MKUU MARY MAJALIWA AMEIOMBA JAMII MASHIRIKA NA MAKAMPUNI KUWASAIDIA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI HAPA NCHINI (ALBINO)

  Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa kwa niaba ya familia yake ametoa mchango wa fedha zaidi ya shilingi laki sita kwa Mama Hakika Swalehe kwa ajili ya kuwasidia watoto wake wenye ulemavu wa ngozi (ALBINO) Rashidi  Juma (5)na Iklamu Juma (miezi 9) Mama Majaliwa amehidi kuwasidia watoto hao vifaa vingine vya kutunza ngozi kwa ajili ya  Watoto hao wanaoishi katika kijiji cha Mtope wilaya ya Ruwangwa Mkoani Lindi  .Picha na Chris Mfinanga
  niw5
  Mama Majaliwa akimsalimia mtoto Iklamu Juma mweye ulemavu wa ngozi Kushoto ni Rashidi Juma (5)kaka wa Iklamu
  niw4
  Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa akiagana na  Mama Hakika Swalehemara baada ya kuzingumza naye
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MKE WA WAZIRI MKUU MARY MAJALIWA AMEIOMBA JAMII MASHIRIKA NA MAKAMPUNI KUWASAIDIA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI HAPA NCHINI (ALBINO) Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top