728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, October 5, 2016

  MHAGAMA AMTEMBELEA MKE WA BABA WA TAIFA MAMA MARIA NYERERE

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye ulemavu) Jenista Mhagama akifanya mazungumzo na Mke wa baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere alipomtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam, leo tarehe 5 Oktoba 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MHAGAMA AMTEMBELEA MKE WA BABA WA TAIFA MAMA MARIA NYERERE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top