728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, October 2, 2016

  MAWAZIRI NAPE, MAKAMBA NA MKURUGENZI WA VODACOM TANZANIA WALIPOSHUHUDIA MTANANGE WA SIMBA NA YANGA JANA

   Waziri wa habari, utamaduni,sanaa na michezo Mh. Mhe.Nape Moses Nnauye (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano Mh. January Makamba (kulia)pamoja na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao(kushoto)wakifatilia mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara, Uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,ambapo timu hizo zilitoka suluhu 1-1.
   Watoto wanaokota mipira uwanjani(Ball boys)  wakionyesha mabango yenye ujumbe maalum wa wiki ya nenda kwa Usalama barabarani jana, wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kati ya simba na yanga uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,ambapo timu hizo zilitoka suluhu 1-1.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAWAZIRI NAPE, MAKAMBA NA MKURUGENZI WA VODACOM TANZANIA WALIPOSHUHUDIA MTANANGE WA SIMBA NA YANGA JANA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top