728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, October 30, 2016

  MASAUNI AIWAKILISHA NCHI MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI ZINAZOPAKANA NA BAHARI YA HINDI WA KUDHIBITI BIASHARA NA USAFIRISHAJI WA DAWA ZA KULENYA SRI LANKA


  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwasha mshumaa ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi wa Kudhibiti Biashara na Usafirishaji wa Dawa za Kulenya kwa njia ya bahari. Mkutano huo unafanyika mjini Colombo nchini Sri Lanka. Picha zote na WMNN.
  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akisikiliza mada zilizokuwa zinatolewa katika Mkutano wa Mawaziri wa Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi wa Kudhibiti Biashara na Usafirishaji wa Dawa za Kulenya kwa njia ya bahari unaofanyika mjini Colombo nchini Sri Lanka. Picha na WMNN.
  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza katika Mkutano wa Mawaziri wa Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi wa Kudhibiti Biashara na Usafirishaji wa Dawa za Kulenya kwa njia ya bahari unaofanyika mjini Colombo nchini Sri Lanka. Picha na WMNN.
  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mratibu wa Mkutano wa Mawaziri wa Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi wa Kudhibiti Biashara na Usafirishaji wa Dawa za Kulenya kwa njia ya bahari unaofanyika mjini Colombo nchini Sri Lanka. Picha zote na WMNN.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MASAUNI AIWAKILISHA NCHI MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI ZINAZOPAKANA NA BAHARI YA HINDI WA KUDHIBITI BIASHARA NA USAFIRISHAJI WA DAWA ZA KULENYA SRI LANKA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top