728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Thursday, October 27, 2016

  MARAHABA MUSIC FESTIVAL LINAVYOAMSHA ARI YA KUJENGA VIPAJI KWA WASANII MBALIMBALI HAPA NCHINI

  Baadhi ya Wasanii wa kundi la  Dar Creators
  Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwenye tamasha la muziki wa asili lililopewa jina ’Marahaba Swahili Music Festival’ lililofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Biafra na kuhudhuriwa na mamia ya wakazi wa Jiji la Dar waliopata burudani mbalimbali za muziki wa ngoma za asili na nyimbo mbalimbali zilizoimbwa (Live).

  Mmoja wa Waratibu wa tamasha hilo,Karola Kinasha alieleza lengo lake ni kukuza vipaji vya wasanii chipukizi wanaoimba na kupiga vyombo mbalimbali vya muziki wa asili,na piia kuutangaza muziki wetu wa asili.

  Mwenye kanga ni mwanamuziki kutoka visiwa vya Mayotte aliyepanda jukwaani akisindikizwa na wanafunzi wa muziki wa kituo cha Music mayday

  Mwanamuziki kutoka katika viziwa vya Mayotte akipiga gitaa akishirikiana na wanamuziki kutoka chuo cha muziki cha Music May Day.

  KUONA PICHA ZAIDI YA TUKIO HILI  BOFYA HAPA
  Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwenye tamasha la muziki wa asili lililopewa jina ’Marahaba Swahili Music Festival’ lililofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Biafra na kuhudhuriwa na mamia ya wakazi wa Jiji la Dar waliopata burudani mbalimbali za muziki wa ngoma za asili na nyimbo mbalimbali zilizoimbwa (Live).

  Mmoja wa Waratibu wa tamasha hilo,Kalora Kinasha alieleza kuwa tamasha hilo ni la tatu kufanyika hapa na lengo lake ni kukuza vipaji vya wasanii chipukizi wanaoimba na kupiga vyombo mbalimbali vya muziki wa asili,na piia kuutangaza muziki wetu wa asili.

  Mwenye kanga ni mwanamuziki kutoka visiwa vya Mayotte aliyepanda jukwaani akisindikizwa na wanafunzi wa muziki wa kituo cha Music mayday

  Mwanamuziki kutoka katika viziwa vya Mayotte akipiga gitaa akishirikiana na wanamuziki kutoka chuo cha muziki cha Music May Day
  Mwanzilishi wa Marahaba Swahili Music Festival... Shaaban Omari akipiga bezi kumsindikiza mwanamuziki kutoka Mayotte
  Abou Mwinchumu mwanamuziki wa Kilimanjaro Band hapa akishirikiana na mwanamuziki kutoka Mayotte.

  Segito muimbaji wa muziki wa Jazz  MC mwanamuziki Karola Kinasha ambae pia anaongoza chuo cha muziki cha Music Mayday

  Kundi la Mswano lililotumia Kalimba mbili na gitaa  Madansa kutoka kundi la Dar Creators
  Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwenye tamasha la muziki wa asili lililopewa jina ’Marahaba Swahili Music Festival’ lililofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Biafra na kuhudhuriwa na mamia ya wakazi wa Jiji la Dar waliopata burudani mbalimbali za muziki wa ngoma za asili na nyimbo mbalimbali zilizoimbwa (Live).

  Mmoja wa Waratibu wa tamasha hilo,Kalora Kinasha alieleza kuwa tamasha hilo ni la tatu kufanyika hapa na lengo lake ni kukuza vipaji vya wasanii chipukizi wanaoimba na kupiga vyombo mbalimbali vya muziki wa asili,na piia kuutangaza muziki wetu wa asili.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MARAHABA MUSIC FESTIVAL LINAVYOAMSHA ARI YA KUJENGA VIPAJI KWA WASANII MBALIMBALI HAPA NCHINI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top