728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, October 14, 2016

  MAMA JANETH: MUENZINI MWALIMU NYERERE KWA KUWAHUDUMIA WAZEE


  Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama Mkoani Morogoro alipofika kutembelea makazi ya kulea wazee ya Chazi yaliyopo Wilayani Mvomero Mkoani Morogoro. 
  Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akitembelea na kukagua makazi ya Wazee ya Chazi yaliyopo Wilayani Mvomero Mkoani Morogoro 
  Baadhi ya Misaada iliyokabidhiwa kwa wazee wanaoishi katiika makazi ya Chazi yaliyopo
  Wilayani Mvomero Mkoani Morogoro 
  Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akisaini kitabu cha wageni alipofika kutembelea makazi ya kulea wazee ya Chazi yaliyopo Wilayani Mvomero Mkoani Morogoro, Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Stephen Kebwe.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAMA JANETH: MUENZINI MWALIMU NYERERE KWA KUWAHUDUMIA WAZEE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top