728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, October 15, 2016

  MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AELEKEA MKOANI DODOMA KWA ZIARA YA SIKU TATU

  Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi wa Chalinze Mkoani Pwani leo Octoba 15,2016 alipokua njiani kuelekea Mkoani Dodoma kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu.
   Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa MlandiziMkoa wq Pwani leo Octoba 15,2016 alipokua njiani kuelekea Mkoani Dodoma kuanza ziara ya  kikazi ya siku 3.
   
  Baadhi ya Wananchi wakimsikiliza Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwahutubia,maeneneo ya Mlandizi Mkoa wa Pwani leo Octoba 15,2016 alipokua njiani kuelekea Mkoani Dodoma kuanza ziara ya  kikazi ya siku 3
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AELEKEA MKOANI DODOMA KWA ZIARA YA SIKU TATU Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top