728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, October 4, 2016

  MAJALIWA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BARAZA LA UDOM

   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa  Baraza  la Chuo Kikuu cha Dodoma  (UDOM), Gaudencia Kabaka kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dodoma  Oktoba 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  kabak2 kabak3 kabak4
   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM), Gaudencia Kabaka (kulia kwake) na ujumbe wake, Ofisini kwake mjini Dodoma Oktoba 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAJALIWA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BARAZA LA UDOM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top