728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, October 3, 2016

  Mahojiano na Rahima Shaaban. Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Ubunifu wa Beautiful Jamila

   Beautiful Jamila ilianzishwa mwaka 2013 na Rahima Shabani na makao makuu ni Atlanta Georgia.Inajihusisha na harakati za kutangaza tamaduni za kiSwahili na kiAfrika.Mwanzilishi wake aliungana nasi studio kuzungumza mengi kuhusu yeye, kampuni yake na tamasha lijalo


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mahojiano na Rahima Shaaban. Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Ubunifu wa Beautiful Jamila Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top