728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, October 3, 2016

  Maadhimisho ya siku ya makazi duniani yaendelea Jijini Dar es Salaam.

  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akisikiliza maelezo kutoka kwa mwakilishi wa Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA) wakati wa maadhimisho ya siku ya makazi duniani leo Jijini Dar es Salaam.
  kuv1
  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu siku ya makazi duniani leo Jijini Dar es Salaam.
  kuv2
  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akakiangalia bango la Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA) wakati wa maadhimisho ya siku ya makazi duniani leo Jijini Dar es Salaam.

  Picha na: Jonas Kamaleki, MAELEZO
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Maadhimisho ya siku ya makazi duniani yaendelea Jijini Dar es Salaam. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top