728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, October 11, 2016

  KONGAMANO LA SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO LAENDELEA KATIKA SHULE YA SEKONDALI MWANAKULIMA WILAYANI KAHAMA

  Katibu Mkuu Wizara ya Afya ,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Siaba Nkinga akihutubia katika Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike liliofanyika jana katika Shule ya Sekondari ya Kata ya Mwanakulima Wilayani Kahama mkoani Shinyanga
  2c
  Wanafunzi wa Shule ya Sekondali ya Kata ya Mwanakulima iliyoko Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga  wakiimba katika  Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike liliofanyika jana katika Shule hiyo
  3c
  Katibu Mkuu Wizara ya Afya ,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Siaba Nkinga akikabidhi watoto wa kike zawadi ya pedi ambazo zinaweza kufuliwa na kutumika tena baada ya kuwa zimeisha tumika. Pedi hizo zinatolewa kwa msaada wa shirika la Msalaba Mwekundu Mkoani Shinyanga kwa ajili ya watoto wakike wanaotoka kwenye kaya masikini
  4c
  Wanafunzi wa Shule ya Sekondali ya Kata ya Mwanakulima iliyoko Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga  wakiimba katika  Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike liliofanyika jana katika shule hiyo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KONGAMANO LA SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO LAENDELEA KATIKA SHULE YA SEKONDALI MWANAKULIMA WILAYANI KAHAMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top