728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, October 2, 2016

  KIBANDA CHA KUTOLEA HUDUMA NJE YA JENGO LA NSSF MJINI BUKOBA CHAONDOLEWA

  Gari la kubebea mizigo mizito liking'oa kibanda cha kutolea huduma nje ya jengo la NSSF leo mjini Bukoba kutokana na jengo hilo kusitisha kutoa huduma baada ya kuharibiwa na tetemeko la ardhi Septemba 10 mwaka huu. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KIBANDA CHA KUTOLEA HUDUMA NJE YA JENGO LA NSSF MJINI BUKOBA CHAONDOLEWA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top